>>Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na
Chelsea amereje katika klabu yake iliyomkuza ya Attletic Madrid baada
ya uhamisho wake kukamilika leo hii.
Torres ambaye alikulia katika klabu ya A. Madrid aliihama timu hiyo mwaka 2008 na kujiunga na Liverpool ambapo alikuja kuwa moja ya washambuliaji tishio katika ligi ya England kitendo kilichoifanya Chelsea kumsajiri kwa dau la rekodi kwa kiasi cha Paun mill. 50.
Akiwa Chelsea hakuwa na msimu mzuri baada ya kiwango chake kuonekana kudorora japo alidumu kwa misimu mitatu na hatimaye Chelsea ikampeleka AC Milan kwa mkopo nako huko hakuonyesha makali yake.
A. Madrid iliamua kumrudisha nyumbani kwa matumaini kuwa atawasaidia kwani siku zote "mtu ni kwao"

HATIMAYE TORRES AREJEA NYUMBANI
Reviewed by Saidia Turuki
on
04:02
Rating:
No comments: