Siku zote mwaka mpya unapoanza lazima kila kila mtu awe na malengo ambayo yatamuwezesha pia kujua namna ya kukamilisha mihangaiko ya hapa na pale.
Rapa Nick Mbishi kutoka Tanzania ambaye pia ni moja ya waasisi wa kundi la muziki la Lunduno ameandika mipango yake ya kazi yake ya muziki kwa mwaka huu 2015 kuwa ataachia nyimbo zake zote ambazo hazikutoka bure halafu hatoingia tena studio.
DR. UNJU
@nikkizohan
Nitaziachia tracks zangu zote ambazo hazijatoka for free then SITOINGIA TENA STUDIO kufanya wimbo (MUZIKI BASI)
#My_decision_2015

ULIIPATA HII YA NICK MBISHI KUACHA MUZIKI MWAKA HUU 2015
Reviewed by Saidia Turuki
on
02:01
Rating:
No comments: