Recent Posts

NEWS: ICC YALAANIWA NA MAREKANI KUHUSU ISRAEL.

ICC YALAANIWA NA MAREKANI KUHUSU ISRAEL.

Marekani ni nchi kubwa sana na yenye uwezo wa hali ya juu, hivi karibuni imeilaani mahakama ya kimataifu ya uhalifu"ICC" kwa hatua ya mahakama hiyo ya uhalifu wa kivita kuanzisha uchunguzi kuhusu uwezekano wa kuwepo uhalifu wa kivita nchini Palestina siku zijazo.

Msemaji wa wizara ya ndani nchini Marekani,alisema kuwa ni jambo la lisiloaminika kutokea Israel ambayo imekuwa ikishambuliwa kwa makombora yanayofyatuliwa katika ardhi yake na Icc bado inachunguza huku mashambulizi yakiendelea.
Mapema hivi karibuni Israel ilisema kuwa ilitaja hatua hiyo imekuja baada ya nchi hiyo kuona ina malengo ya kuzuia ijilinde kutokana na vitendo vya kigaidi vinavyoendelea kutokea nchi mbalimbali.

NEWS: ICC YALAANIWA NA MAREKANI KUHUSU ISRAEL. NEWS: ICC YALAANIWA NA MAREKANI KUHUSU ISRAEL. Reviewed by Unknown on 08:07 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.