Recent Posts

BOKO HARAM SASA WAGEUZA UPEPO: WATEKAWAVULANA 40.

Kunamsemo unaosema hivi,ukiona kwako kuna ungua kwa mwenzio kuna teketea, inamaana kwamba kundi la boko haramu baada mwaka jana kuwateka nyara wasichana zaidi ya 200,na kuwapeleka pasipo julikana sasa wamewageukia wavulana zaidi ya 40 kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Inasemekana kuwa baada ya wanamgambo hao wa boko haramu kuingia katika kijiji cha Malari siku ya Ijumaa usiku na kuteka wavulana hao baadhi ya wakazi wa kijiji hicho walitoroka na kucha makazi yao.

Walisema kuwa baadhi ya watu waliojihami waliwasili katika kijiji cha maiduguri katika gari aina ya pick up na kuwaagizia wanaume wote kutoka nje ili kusikiliza mahubiri

Baada ya hapo muda si mrefu vijana wakiume wadogo waliokuwepo wote walizungukwa na kundi hilo la boko haram na kupelekwa msituni kusikojulikana jirani mwa Sambisa.

Tunakumbuka kwamba kundi hilihili la boko haram mwaka jana liliwateka nyara zaidi ya 200 katika shule moja ya bweni kaskazini mwa Nigeria.

Photo: #NEWS

BOKO HARAM SASA WAWAGEUKIA WAVULANA 40.

BOKO HARAM SASA WAGEUZA UPEPO: WATEKAWAVULANA 40. BOKO HARAM SASA WAGEUZA UPEPO: WATEKAWAVULANA 40. Reviewed by Saidia Turuki on 04:12 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.