By Mr.Entertainer of KAY-STALLION TZ
Haya ndo maisha ya sasa ya mwanamuziki Diamond Platnumz na mwana Mama Zarinah Hassan a.k.a Zari_The_Boss_Lady
Diamond kumbebea pochi na kumfungulia mlango Zari_the_bosslady ni kawaida sanaaa kutokana na kuweka wazi uhusiano wao ili kuondoa maswali mengi kwa watu
Fahamu tu most of the tours anazo fanya Mr.Platnumz kwa sasa since last year mwezi wa mwishoni yupo na Zari kila mahala na kaa ukijua hii ndio most rise up
Nice couple of 2015 ambayo watu wengi wanaiombea ipate kudumu na sio kama relation nyingine zilizopita za Diamond Platnumz ambaye last year alifunga mwaka na tuzo ya AFRIMA.
*************************************************************************
TU FOLLOW INSTAGRAM @KAYSTALLION_TZ kwa habari kibao za Entertainments.
DIAMOND NA ZARINAH: NI MWENDO WA BATA TU SASA HIVI.
Reviewed by Saidia Turuki
on
08:32
Rating:
Big up bro
ReplyDelete