HUYU NDIE JOHN BOKO ADEBAYOR
>>John Bocco mshambuliaji wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ni moja ya washambuliaji tegemeo katika klabu ya Azamu FC leo nikuletea Historia yake katika soka kwa ufupi.
John Boko maarufu kama Adebayor alizaliwa mwaka 1989, alianza kucheza soka katika timu ya Kijitonyama FC,
mwaka 2007 alijiunga na Azam FC na kuisaidia timu hiyo kupanda daraja.
John Bocco ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao walifanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom mwaka 2008 wakiwa na Azam FC, mwingine ni Sure Boy.
Msimu wa 2011/2012 alifunga mabao 19 na kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara akivunja rekodi ya Bonifacee Ambani wa Yanga aliyefunga mabao 18 msimu wa 2009/2010.
Boko ni mmoja wa wachezaji tegemezo katika timu ya Azam na anajua sana kutumia nafasi yake kama mshambuliaji hasa akiwa anatafuta goli.

SPORTS: HUYU NDIE JOHN BOKO ADEBAYOR
Reviewed by Unknown
on
06:34
Rating:
No comments: