KIFAA KIPYA MADRID CHAINGIA NA MKOSI
>>Madrid imekamilisha usajiri wa mchezaji Martin Odegaard mwenye umri wa miaka 16 na baada ya kukamilisha usajiri huo shirikisho la soka Duniani FIFA limefungua uchunguzi juu ya usajiri unaofanywa na klabu hiyo kwa wachezaji walio chini ya umri.
Ikiwa Madrid watakutwa na hatia watafungiwa kusajili na kuuza wachezaji kwa muda usiozidi madirisha mawili ya usajili - adhabu ambayo Barcelona wanaitumikia kwa sasa.

SPORTS: KIFAA KIPYA MADRID CHAINGIA NA MKOSI
Reviewed by Unknown
on
11:48
Rating:
No comments: