>>Kiungo wa timu ya taifa ya Cameroon ametangaza kustafu soka la
kimataifa ikiwa ni siku chache baada ya kutemwa katika kikosi cha timu
hiyo kitakacho shiriki michuano ya AFCON.
Awali Song aliachwa na kuchaguliwa kikosini kutokana na tabia yake isiyoridhisha aliyoionyesha wakati wa fainali za kombe la Dunia nchini Brazili.
Song anachezea klabu ya West Ham ya England akitokea Barcelona kwa mkopo.

SONG AACHANA NA TIMU YA TAIFA
Reviewed by Unknown
on
05:05
Rating:
No comments: