PAPA FRANCIS AMEPOKEWA NA MAMILION YA WATU NCHINI UFILIPINO.
Kiongozi mkuu hapa duniani wa kanisa katoliki papa Francis, yupo nchini Ufilipino kwa ziara ya kidini,ambapo mda si mrefu uliopita aliongoza misa ambayo ilihudhuriwa na watu wengi katika bustani ya Razak kwenye mji mkuu wa ufilipino Manila akiwa kwenye siku ya mwisho ya ziara yake barani Asia.
Katika ziara hiyo waandalizi walisema kuwa watu milioni kadhaa walihudhuria misa hiyo licha ya kuwepo changamoto za kunyesha kwa mvua.
Taarifa zilisema kwamba misa hiyo ilihudhuriwa na watu wengi zaidi kuliko misa aliyoifanya papa John poul wa pili azuru eneo hilo 1995.
Fahamu Kwa watu wasio hudhuria katika misa hiyo, walipata nafasi ya kuangalia matangazo ya luninga mbali mbali kwao huku kwa wakagti huo watu wengi walijitikeza katika bustani ya Razak wakipunga mikono na kushangilia wakati papa alipokuwa akipita ndani ya gari lake.

NEWS: PAPA FRANCIS AMEPOKEWA NA MAMILION YA WATU NCHINI UFILIPINO.
Reviewed by Unknown
on
08:15
Rating:
No comments: