OBAMA APINGWA NA WABUNGE WA MAREKANI KUFANYA MABADILIKO YA SERA NCHINI HUMO.
Wabunge nchini marekani kupitia chama cha Republic, wamempinga Raisi Barack Obama wa Nchi hiyo juu ya kufanyia mabadiliko ya sera za uhamiaji nchini humo.
Taarifa kutoka Nchini Marekani zinasema kuwa hatua hiyo imetokana na spika wa bunge la nchi hiyo John Boehner kudai kuwa hatua ya serikali iliyotangazwa na Raisi Obama Novemba mwaka jana haikuwa imeidhinishwa na bunge la taifa hilo.
Hata hivyo Ikulu ya marekani imesema chama cha Republican kilichukuwa hatua hiyo ambayo si sahihi kwa kupinga hatua ya Raisi Obama kuhusiana na marekebisho ya sera ya uhamiaji ili kuwapa uraia wasio raia wa taifa hilo.

NEWS: OBAMA APINGWA NA WABUNGE WA MAREKANI KUFANYA MABADILIKO YA SERA NCHINI HUMO.
Reviewed by Unknown
on
03:56
Rating:
No comments: