Recent Posts

SPORTS: JAMES RODRIQUES AMFUNIKA VAN PERSE NA BAO LAKE LA KICHWA ATWAA TUZO YA BAO BORA LA MWAKA

>>Kiungo wa timu ya taifa ya Colombia na klabu ya Real Madrid James Rodriquez ametwaa tuzo ya bao bora la mwaka huku akimbwaga Van Perse na bao lake la kichwa alilofunga katika kombe la dunia.

Bao la Van Perse aliloifungia timu yake ya Uholadhi katika fainali za kpombe la dunia nchini Brazil lilionekana kuwa bora lakini baada ya kura kupigwa, bao la Rodriquez ndio limeonekana bora na tuzo kwenda kwa Mcolombia huyo.

Tuzo ya kocha bora imekwenda kwa kocha wa Ujerumani Joachim Low baada ya kubwaga Carlo Ancellot kocha wa Real Madrid.

 
SPORTS: JAMES RODRIQUES AMFUNIKA VAN PERSE NA BAO LAKE LA KICHWA ATWAA TUZO YA BAO BORA LA MWAKA SPORTS: JAMES RODRIQUES AMFUNIKA VAN PERSE NA BAO LAKE LA KICHWA ATWAA TUZO YA BAO BORA LA MWAKA Reviewed by Unknown on 21:29 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.