>>Klabu
za Chelsea, Arsenal, Man Utd na Man City zimefanikiwa kusonga mbele kwa
hatua ya 4 ya mashindano ya kuwania kombe la chama cha soka England FA baada ya kila moja kushinda katika mchezo wake.
Chalsea imesonga mbele baada ya kuifunga timu ya daraja la kwanza ya Watford mabao 3-0 mabao yaliyofungwa na William dk 58, Remy dk 70 na Zouma dk 72.
Mashetani wekundu Man Utd wameifuata Chelsea katika hatua ya nne baada yakuifunga timu ya daraja la kwanza ya Yeovil mabao 2-0,mabao yaliyofungwa na Herrera dk 64′ na Di MarÃa dk 90′
Nao washika bunduki wa Londan Arsenal wamesonga mbele baada ya kuifunga Hull City mabao 2-0, mabao yaliyofungwa na Mertesacker dk 20′ na Sánchez dk 82′.
Kwa upande wa Man City wao walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield Wednesday ya daraja la kwanza huku mabao ya City yakifungwa na Milner dk 66′na dk 90′ wakati bao la Sheff lilifungwa na Nuhiu dk 14′ .
Matokeo yote ya michezo ya FA iliyopigwa jana ni kama ifuatavyo;-
• Dover 0 - 4 Crystal Palace
• QPR 0 - 3 Sheff Utd
• Sunderland 1 - 0 Leeds
• Aston Villa 1 - 0 Blackpool
• Man City 2 - 1 Sheff Wed
• Southampton 1 - 1 Ipswich
• Stoke 3 - 1 Wrexham
• Yeovil 0 - 2 Man Utd
• Chelsea 3 - 0 Watford
• Arsenal 2 - 0 Hull

CHELSEA, ARSENAL, MAN UTD, MAN CITY ZA PETA FA CUP NA KUTINGA ROUND YA NNE
Reviewed by Saidia Turuki
on
04:07
Rating:
No comments: