Jeshi la polisi linawashikilia baadhi ya vijana wanaotuhumia kuhusika kufanya vurugu kubwa na kupora mali mbalimbali za watu kupitia kikundi kinacho jiita 'Panya Road'
wiki iliyopita kundi hilo la vijana wa "Panya Road' walifanya vurugu kubwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, nakusababisha watu wengine kuacha biashara zao na kukimbia kusikojulikana.
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania Advera Bulimba, alisema kuwa mpaka sasa wamekamatwa vijana wapatao 36 na wapo mikononi mwa polisi ili kujibu tuhuma zote zinazowakabili.
Fahamu kwamba vijana hao wa vikundi vya panya road,baada ya kuhojiwa kuhusu tuhuma hizo watafikishwa mahakama ili kujibu tuhuma mbalimbali walizo nazo.

JESHI LA POLISI TANZANIA LIMETOA KIBANO KWA VIJNA WA PANYA ROAD.
Reviewed by Saidia Turuki
on
03:50
Rating:
No comments: