RAISI WA NIGERIA GOODLUCK JONATHANI APIGWA MAWE.
Msafara wa magari wa Raisi Goodluck Jonathan wa Nigeria ulipigwa mawe na watu wanaoishutumu serikali kukosa kukomesha harakati za wapiganaji wa kiislamu wa boko haram..
Katika tukio hilo la kupigwa mawe magari hayo, madirisha ya magari kadhaa kwenye msafara huo yalivunjwa kwa mawe, kabla ya polisi kuwafyatulia mabomu ya kutuliza ghasia huku wengine wali wacharaza mijeledi.
Shambulizi hilo lilifanyika katika mji wa Yola mashariki mwa Nigeria ambako Raisi Jonathan alikuwa anaendesha kampeni yake kabla ya uchaguzi mkuu mwezi ujao.
Maelfu ya wakimbizi wa ndani wanaishi mji wa Yola baada ya kutoroka vita kutoka makwao ambako Boko Haram inaendesha mwezi ujao.

NEWS: RAISI WA NIGERIA GOODLUCK JONATHANI APIGWA MAWE.
Reviewed by Unknown
on
06:45
Rating:
No comments: