Recent Posts

SPORTS: OKWI YUKO FITI KUANZA MAZOEZI

OKWI YUKO FITI KUANZA MAZOEZI

>>Kwa mujibu wa Daktari wa simba Dk Gembe amesema Okwi yupo vizur na ataanza mazoezi ya taratibu siku ya leo.

Dactali alisema aliona siku mbili zingemtosha lakini jana amemuangalia na akaona yupo katika hali nzuri hivyo Kesho ataanza mazoezi kidogo kidogo na baada ya hapo antamuangalia tenaa.

Wakati huo huo Kiungo wa Simba Said Ndemla atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki mbili ili kupona majeraha yake ya nyama za paja. Ndemla aliumia wakat wa fainali ya Kombe la mapinduz na aliendelea hvyo kucheza bila mapumziko, aliichezea simba dhidi ya Ndanda,timu ya Taifa stars maboresho na jana dhidi ya azam Dk Yassin Gembe pia alisema.

“Ndemla atapumzika kwa wiki mbili, kwa sababu ana
maumivu ya siku nyingi, ila amekuwa akicheza hivyo
hivyo, lakini sasa Jumatatu atapumzika kwa wiki
mbili,” alisema Dactal.
Photo: #Sport_News

SPORTS: OKWI YUKO FITI KUANZA MAZOEZI SPORTS: OKWI YUKO FITI KUANZA MAZOEZI Reviewed by Unknown on 11:42 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.