Hizi ndio Picha Za Harusi Ya Bard Pitt Na Angelina Jolie Na Kiasi Cha Pesa Walichopokea Kwa Majarida Mawili.
Baada ya kufunga ndoa kwa siri bila kukaribisha vyombo vya habari na
mapaparzi kwenye sherehe ya ndoa yao Ufaransa Brad Pitt na Angelina
Jolie wameuza picha za harusi yao katika Majarida mawili ambayo ni People na Hello wamelipa kwa pamoja dola milioni 2 za Kimarekani.
Fahamu pia kuwa Brad Pitt na Jolie waliwahi kuuza picha za kwanza za mtoto wao wa
kike kwa jarida la people kwa dola milioni nne, mwaka 2007 waliuza picha
zao za mtoto wao wa kiume, mwaka 2008 ilisemekana wamelipwa dola
milioni 14 na jarida la people ili kupata picha za watoto wao mapacha
ambao ni Viviennena Knox.
Hizi ndio Picha Za Harusi Ya Bard Pitt Na Angelina Jolie Na Kiasi Cha Pesa Walichopokea Kwa Majarida Mawili.
Reviewed by Unknown
on
01:16
Rating:
No comments: