HAWA NDIO WAKALI WA SHINDANO LA AMERICAN IDOLS WALIO PATA MKWANJA MWINGI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 2015
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii watano waliowahi kushinda mashindano ya American Idols na wakiwa ndio waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2015 ingawa nafasi moja wali fungana wawili.
Hi hapa ndio list yao:
1) Adam Lambert ($10 million)
2) Carrie Underwood ($8 million)
3) Daughtry ($6 million)
4) Phillip Phillips ($5 million)
5) Scotty McCreery ($4 million) akifungana na Kelly Clarkson ($4 million)
HAWA NDIO WAKALI WA SHINDANO LA AMERICAN IDOLS WALIO PATA MKWANJA MWINGI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 2015
Reviewed by Unknown
on
04:14
Rating:
No comments: