Kama isemwavyo ya kuwa Elimu haina mwisho basi pia kwenye muziki kumeanza kuwa na mabadiliko kiasi chake (hahaaa!!)
Huko nchini marekani hivi sasa katika game la muziki wa Rap ukizungumzia wakongwe sasa hivi si kwa wale walio uanzisha mziki tu bali pia kwa wale wenye umri mkubwa huku wakiufanya mziki huo!
Rapa Bitcoin mwenye umri wa miaka 79 katika kuonyesha uwezo wake katika sanaa ya muziki ameweka headline kubwa katika game ya Rap kwa kuwa msanii mwenye umri mkubwa katika wasanii wa Rap na huenda ndiye wa pekee katika wasanii wanao Rap na inadaiwa licha ya kwamba miaka ya kuacha muziki wa Rap ilipaswa kuwa miaka 50 lakini mzee huyu kaamua kufanya mapinduzi makubwa kwa kuvuka zaidi ya hiyo.
Mwaka 2014 Bitcoin alitoa video ya wimbo wake wa “Best Bitch” na kufanikiwa kuteka watu wengi kwa ngoma yake hiyo na hatimaye kupata mashabiki wengi katika muziki wake.
ANGALIA HII MOJA YA NGOMA ZAKE:

Rappin Like A Black Dude - Bitcoin
MZEE HUYU KAKAMATA HEADLINES KWA KUWA RAPA MWENYE UMRI MKUBWA SANA MIAKA "79"
Reviewed by Unknown
on
05:04
Rating:
No comments: