Recent Posts

2016 HII NDIO "TATOO"ALIYO CHORA HARMONISE ITAKAYO KUWA NA HISTORIA KUBWA KATIKA MAISHA YAKE!.

NYOTA chipukizi chini ya Record Label ya ‪#‎Wasafi_Classic_Baby‬ (WCB) Harmonise licha ya kudai kuwa wazazi wasinge support wazo lake loa kuchora ‪#‎Tatoo‬ lakini kutokana na maamuzi yake ya kiutuzima ameamua kuchora Tatoo ambayo kibinafsi amedai itakuwa na maana kubwa sana katika maisha yake yanayo ambatana na sanaa ya Muziki anayo ifanya.

Harmonise ameamua kuchora Tatoo yenye sura ya na mwonekano wa "Diamond" Platnumz staa kutoka Tanzania ambaye ndiye aliye mtoa kimuziki nahu katika kutoa ya moyoni ameeleza jinsi namna Platnumz Diamond alivyo mtoa katika chimbuko la umaskini ulioambatana na sanaa ya "Nitoke vipi"!.
Licha ya kudai kuwa alikuwa akinyanyasika na kukatishwa tamaa na walimwengu lakini hakuwahi kufikiria kama baba Tiffah, atamjali na kumpa gari ya kutembelea kwenda studio mbalimbali tofauti na studio ya nyumbani kwa mwanamuziki huyo "WCB RECORDS" na hivyo kudai kuwa njia ya kuweka ukumbusho katika hilo ni pamoja na kuchora Tatoo hiyo.

‪#‎Fahamu‬: Harmonise amedai kuwa hata kama atakuja kugombana au kuachana na usimamizi wa WCB chini ya Diamond Platnumz hata kuja kufuta Tatoo hiyo kutokana na Heshima aliyo mpa msanii huyo mkubwa kutoka Tanzania.
TEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK
m.facebook.com/KAYSTALLION.TZ
NA LIKE KWA TAARIFA MBALI MBALI.
2016 HII NDIO "TATOO"ALIYO CHORA HARMONISE ITAKAYO KUWA NA HISTORIA KUBWA KATIKA MAISHA YAKE!. 2016 HII NDIO "TATOO"ALIYO CHORA HARMONISE ITAKAYO KUWA NA HISTORIA KUBWA KATIKA MAISHA YAKE!. Reviewed by Unknown on 04:09 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.