Pichani: "Beyonce akiwa amejikunyata kama Mama mjamzito anaye sikia Baridi huku kaficha tumbo lake" |
Sababu pia za uvumi wa habari hii ni kutokana pia na Jay-z na Beyonce kuishi kwa muda mrefu katika mahusiano kwa takribani miaka 15 hadi mwaka 2012 January 7 walipo pokea mtoto wao wa kwanza Blue Ivy Carter ambaye kwa sasa ana Umri wa miaka 4 na huenda kutokana na Umri wake inaweza kuwa pia ni sababu ya kumtafutia mdogo wake kama Walivyo fanya Marafiki wa Familia yao Kanye West na Kim Kardashian kwa Kumuongezea North West mdogo wake Saint West.
JAY-Z ALIVYO MBEBA BLUE IVY KWA MARA YA KWANZA! |
BEYONCE WA JAY-Z ADAIWA KUWA NA UJAUZITO TENA!.
Reviewed by Unknown
on
03:09
Rating:
No comments: