Mwaka 2016 umefunguliwa kiutofauti na kwa mtazamo wa kipekee kwa baadhi ya wasanii wakubwa kutoka Nchini Marekani.
Kendrick Lamar Mwishoni mwa mwaka 2015 (mwaka jana) aliweka video katika acount yake ya Youtube aliyo ipatia jina la "HARD WORK" Video hiyo inamuonesha Kendrick katika umaarufu wake apitapo mtani au mahali popote watu wanapo mtambua lakini haoneshi kufurahi kwaajili ya umaarufu tu bali kwa kazi nzito ya kujituma katika kuhakikisha anafanikisha malengo yake na ndoto zake.
Ushauri huo wa "HARD WORK" unaonekana kumlenga sana bwana mdogo anaye onekana katika video hii akiwa na Kendrick lakini ukiutafakari vizuri utagundua hata wewe pia kuwa unakuhusu!!
ITAZAME HIYO VIDEO HAPA:

HUU NI UJUMBE MZITO NA WAKUZINGATIWA SANA KUTOKA KWA KENDRICK LAMAR
Reviewed by Unknown
on
05:54
Rating:
No comments: