Recent Posts

DIAMOND PLATNUMZ KAPATA SHAVU KENYA KWENYE HII NGOMA YA "SWEET LOVE" (+Video)

Hali ya Kimuziki kwa Staa  kutoka Nchini Tanzania Naseeb Abdul "Diamond Platnumz" imezidi kukua na kumuimarisha sana katika sanaa ya Muziki na kumjenga Heshima kubwa sana Barani Afica na Nchi za Nje kwa Ujumla hivyo si bahati tena kwake kufanya au kupata Collabo kutoka Nje ya Tanzania!.

Shavu alilo fungua nalo mwaka na kuwa wazi ni hili hapa la kupata Collabo kutoka kwa mwanadada  Akothee kutoka Nchini Kenya katika wimbo wake wa "Sweet Love" ambao video kamili bado ila kuna Video Taser yake hii hapa unaweza kuicheki hapa ikiwa pia imefanyiwa Directin na GODFATHER:


Akothee ft Diamond - Sweet Love OFFICIAL TEASER


DIAMOND PLATNUMZ KAPATA SHAVU KENYA KWENYE HII NGOMA YA "SWEET LOVE" (+Video) DIAMOND PLATNUMZ KAPATA SHAVU KENYA KWENYE HII NGOMA YA "SWEET LOVE" (+Video) Reviewed by Unknown on 02:56 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.