Recent Posts

MAFANIKIO YA ADELE KIMUZIKI 2015 YADAIWA KUMTISHIA BEYONCE KUTOA NYIMBO.


Mwishoni mwa mwaka jana 2015 mwezi December staa wa RnB, Beyonce Knowles alikuwa katika mpango mkubwa wa kutoa Nyimbo ambayo aliitazamia kuwa nyimbo yake ya kufungia mwaka lakini headlines alizo amka nazo mwaka huu mpya juu ya kutofanikisha mipango yake hiyo ni kuwa mafanikio ya kimuziki ya msanii mwenzie Adele kwa Mwaka jana yalimkaba na kumnyima fursa ya yeye kutofanikisha kutoa nyimbo mpya na kudaiwa kuwa huenda aliogopa nyimbo yake isinge tusua anga la burudani na huenda angezimwa taratibu kimuziki.

Yote hayo yamekuja baada ya Beyonce kunukuliwa na badhi ya mitandao kuwa "Msanii wa mwaka 2015 aliye tokea kumkubvali zaidi ni Mwana Mama Adele" licha ya hivyo imedaiwa Habari zote zilizo tokea kusema kwamba anamuogopa na kumuonea wivu Adele  ni uvumi tu licha ya jarida la "Touch" kuchapisha kuwa Beyonce ana wivu kwa Adele hususani mafanikio yake kwa mwaka 2015.
Fahamu Adele kwa Sasa yupo juu baada ya kukamata siku ya saba na Albamu yake  ya "25" katika Chat ya 200 Billboard  kuwa Albamu ya Kwanza ya Mwanamke kuendelea kukamata nafasi ya kwanza katika chat ya wiki saba za mwanzo na kuweka recodi iliyo wahi kutokea mwaka 1987.






MAFANIKIO YA ADELE KIMUZIKI 2015 YADAIWA KUMTISHIA BEYONCE KUTOA NYIMBO. MAFANIKIO YA ADELE KIMUZIKI 2015 YADAIWA KUMTISHIA BEYONCE KUTOA NYIMBO. Reviewed by Unknown on 01:20 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.