Recent Posts

BAADA YA LINEX KUDAIWA KUFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA UKWELI HUU HAPA:

Ukweli halisi wa jambo hilo ni kuwa picha alizo ziweka mtandaoni hasa Instagram mkali wa hit song ya "Mama Halima" Linex a.k.a Sunday Mjeda ni kuwa ile ilikuwa project ya cover la Audio ya wimbo wake mpya wa 'Kwa Hela' ambao tayari umeisha toka na upo mitandaoni na unapigwa na vituo vingi vya Redio ukiwa umefanywa na Emma The Boy ndani ya Studio za 'Happy.

Utata huo ulikuja baada ya siku kadhaa kabla nyimbo haijatoka Linex kupost picha hiyo hapo juu katika acount yake ya Instagram na kuandika maneno haya "Kuna maamuzi hayahitaji matangazo" huku picha nyingine akiandika hivi "Silence speaks volumes".
HIZI HAPA NI PICHA NYINGINE.


BAADA YA LINEX KUDAIWA KUFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA UKWELI HUU HAPA: BAADA YA LINEX KUDAIWA KUFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA UKWELI HUU HAPA: Reviewed by Unknown on 03:33 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.