Recent Posts

BAADA YA KUDHANIWA KUWA ANA KANSA HIKI NDICHO ALICHO KIJIBU "JANET JACKSON"


Mdogo wa Hayati wa Muziki wa POP Michael Jackson,  Janet Jackson amekanusha kuwa ana ugonjwa wa Saratani "Cancer" na kwamba haku  sitisha ziara ya show zake sababu hiyo ya jambo kama hilo, ambapo alinukuliwa na mitandao mingi kwa haya ‘I Do Not Have Cancer’

Janet amedai kuwa hana saratani na alifanyiwa upasuaji wa kawaida tu na kwa sasa hali yake imeanza kuimarika na anajiuguza taratibu
.
BAADA YA KUDHANIWA KUWA ANA KANSA HIKI NDICHO ALICHO KIJIBU "JANET JACKSON" BAADA YA KUDHANIWA KUWA ANA KANSA HIKI NDICHO ALICHO KIJIBU "JANET JACKSON" Reviewed by Unknown on 04:32 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.