Recent Posts

DAVID BECKHAM APEWA TUZO YA HUMANITARIAN KUTOKA UNICEF.

Beverly Hills Los-Angels, Marekani siku ya jana Shirika la haki za watoto UNICEF lilikuwa na Sherehe ya kipongezi iliyopewa jina la "Star-studded UNICEF Ball" ilizo fanyika katika hoteli ya Beverly Wilshire Four Seasons Hotel, na kufanikiwa pia kuchangisha  kiasi cha pesa za kimarekani dola millioni 2.5 kwaajili ya kusaidia miradi ya kuokoa maisha kwa familia za kimaskini.

Beckham alipewa Tuzo ya "Humanitarian Leadership Award" kutokana na mchango wake  wa kimsaada katika masuala yaki jamii ikiwa ni pamoja na kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu kupitia nyenzo za miradi mbali mbali aliyo weza kuifanya.

Sherehe hiyo iliyo pata kutumbuizwa na mwana Mama Mariah Carey  iliweza kuhudhuriwa na Mastaa wengi akiwemo Selena Gomez, Elton John, Michelle Rodriguez, pamoja na Nicole Kidman.
David Beckham kwenye Red Carpet za Unicef









 
DAVID BECKHAM APEWA TUZO YA HUMANITARIAN KUTOKA UNICEF. DAVID BECKHAM APEWA TUZO YA HUMANITARIAN KUTOKA UNICEF. Reviewed by Unknown on 06:14 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.