Recent Posts

TAREHE RASMI YA NDOA YA NEYO HII HAPA:


Crystal Renay ndiye mpenzi halali wa Star wa RnB, Neyo kutoka Marekani na tayari tarehe kamili ya Ndoa yao imsha tangazwa kuwa ni February 20 2016 yaani mwezi ujao.

Neyo mwaka jana 2015 aliweka wazi kuwa ana matarajio ya kufunga ndoa na mpenzi  wake Crystal Renay ambaye ni mwanamitindo na alitangaza kuwa mpenzi wake huyo ana ujauzito wake licha ya Neyo kuwa na watoto wawili na mpenzi wake wa awali Monyetta Shaw.

FAHAMU: katika kadi za harusi zilizo anza kutolewa zina jina halisi la Neyo ambalo ni "Shaffer Chimere Smith pamoja na la mpenzi wake Crystal Renay.

TAREHE RASMI YA NDOA YA NEYO HII HAPA: TAREHE RASMI YA NDOA YA NEYO HII HAPA: Reviewed by Unknown on 03:49 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.