Recent Posts

MEEK MILL AZIDI KUSOTA JELA BAADA YA KUSUSWA!!!!!!>>>>>>>>

 Baada ya kutupwa Jela kifungo cha miezi 3 hadi 6  kwa makosa ya kukiuka muda wa matazamio (Probation) aliopewa na mahakama wa kutojihusisha na fujo na uharifu wa aina yoyote ikiwemo kumiliki Siraha kinyume na Sheria wala kukutwa katika mazingira yatakayo muhusisha au kumtambulisha kama muhalifu ambapo July 11 alikamatwa kwa madai ya kukiuka agizo hilo la Baada ya kuweka picha kwenye Instagram ikimwonyesha akiwa na siraha na dawa za kulevya ambapo alifikishwa Mahakama na kufunguliwa kesi tena.

Kesi ya Rappa huyu wa "Rose-Red" bado inaendelea ambapo siku ya jana  alipandishwa kizimbani kwa tuhuma zinazo endelea dhidi yake kwa kujihusisha na uharifu na ufanyaji wa fujo ikiwa pia ni mjumuhisho wa kesi inayo mkabili dhidi ya kukiuka Maagizo ya mahakama ya kutojihusisha na vitendo kama hasa matumizi ya dawa za Kulevya na umilikiji wa Siraha hivyo ambapo alipewa muda wa matazamio "PROBATION" tangu mwaka 2009 baada ya kukutwa na siraha na dawa za kulevya ambapo alifungwa kwa muda   lakini akatoka kwa makubaliano ya kutojihusisha na vitendo hivyo vya uharifu ikiwemo pia matumizi ya dawa za kulevya.

Kesi ya Meek Mill ilikuwa katika mahakama ya Philadelphia Marekani chini ya Judge Genece E. Brinkley ambaye alikataa ushahidi wa Meeky kuwa kipindi alipo kamatwa (July 11) hakuwa katika mazingira ya uharifu wala kuhusu picha ya instagram inayo muonyesha akiwa na silaha aina ya AK47  hakuwa katika hali ya kufanya fujo na dawa za kulevya zilizo kamatwa katika mazingira hayo vyote kwa ujumla ilikuwa kwa ajili ya  matayarisho ya video  .
 
Taarifa kamili kwa mujibu wa MTV News hizi hapa: 
 
"
 Meek Mill has had a rough summer, and things didn’t get any better on Monday (August 18). Philadelphia judge Genece E. Brinkley denied the rapper’s request for an early parole, following the three-to-six month sentence she handed him on July 11 for probation violation.
Meek’s defense argued that the rapper was improperly found in violation of his probation, which stems from a 2009 drug and gun conviction.
The assistant District Attorney argued that Meek was in violation because he posed on Instagram with a gun, tested positive for drugs, set up out-of-town show dates when the court asked him not to, and did not keep a direct line of communication with his parole officer. The defense, in turn, argued that the gun in question was a prop for a video, the drugs were prescribed by a doctor and that Meek wasn’t adequately informed by the court of the limitations for out-of-town bookings.
After a 90-minute hearing in a packed courtroom that included DJ Khaled and members of Meek’s DreamChasers, Maybach Music Group and Atlantic Records teams, the judge shot down the appeal — which could have set the rapper free as early as today.
In addition, the judge demanded that Mill, born Robert Williams, completes anger management and parenting classes, as well as seek drug and alcohol treatment before he is let out. If the “Ima Boss” MC doesn’t complete the three programs, the judge said he will have to do the entire six months of his sentence.
Now, Meek’s legal team will take their case to a higher court. “The case is pending in front of the Pennsylvania Supreme Court, we will file amended paperwork in the court tomorrow, asking the Pennsylvania Supreme Court to do what this judge refuses to do – recognize that mistakes were made and correct them,” Christopher Warren, one of Meek’s attorney’s, told MTV News after the hearing.
There is no set date for a state supreme court hearing."


 LIKE "KAY-STALLION" on Facebook, follow on twitter @kay_stallion, Instagram @kaystallion.
MEEK MILL AZIDI KUSOTA JELA BAADA YA KUSUSWA!!!!!!>>>>>>>> MEEK MILL AZIDI KUSOTA JELA BAADA YA KUSUSWA!!!!!!>>>>>>>> Reviewed by Unknown on 02:08 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.