Recent Posts

TAARIFA KUHUSIANA NA HALI YA KIAFYA YA MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE BAADA YA KUUMIA JICHO KATIKA MCHEZO WA FENERBAHCE DHIDI YA AKHISTAR

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Robin Van Persie na timu ya taifa ya Uholanzi ambae kwa sasa ana miaka 33 ambapo amepiga goli katika ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Akhisar kabla ya kipindi cha kwanza kuisha

Hata hivyo picha za video zilimuonesha Van Persie akiwa anatokwa na damu nyingi katika jicho lake upande wa kushoto, huku habari za awali zikisema kuwa kuna uwezekano asione tena.

 Habari njema zilizotoka tena zina sema antaona baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu majibu hayo yametoka kwa maganga wa timu hiyo  Burak

#FAHAMU Van Pesie aliwahi kucheza Arsenal kisha kwenda  Manchester United  na mwaka jana akajiunga na klabu ya  Fenerbahce.
TAARIFA KUHUSIANA NA HALI YA KIAFYA YA MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE BAADA YA KUUMIA JICHO KATIKA MCHEZO WA FENERBAHCE DHIDI YA AKHISTAR TAARIFA KUHUSIANA NA HALI YA KIAFYA YA MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE BAADA YA KUUMIA JICHO KATIKA MCHEZO WA FENERBAHCE DHIDI YA AKHISTAR Reviewed by Unknown on 01:34 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.