Recent Posts

BAADA YA PACQUIAO KUCHUKUA UBINGWA: MAYWEATHER AJIBU "SIO MBAYA"

Floyd Mayweather ameona kwani shilingi ngapi akienda kutazama pambano la Manny Pacquiao huko jijini Las Vegas na kumpa pongezi
Bondia Pacquiao ameondoka na ushindi katika pambano lake la mkanda wa  Welterweight wa WBO kwa kumpiga mpinzani wake Jessie Vargas.
Baada ya Pacquiao kuchukua ubingwa huo akiwa mbele ya Floyd Mayweather, Mayweather amefunguka na kusema kwamba “Not bad,”
Mayweather alimshinda Pacquiao ili kushinda taji hilo mnamo mwezi Mei 2015 katika kile kilichotajwa kuwa pigano la ''karne'' hii.
''Nilimualika kuhudhuria pigano hili usiku huu'' ,alisema Pacquiao. Alipoulizwa iwapo wawili hao wanaweza kukutana tena ,alijibu 'tutaona'.





BAADA YA PACQUIAO KUCHUKUA UBINGWA: MAYWEATHER AJIBU "SIO MBAYA" BAADA YA PACQUIAO KUCHUKUA UBINGWA: MAYWEATHER AJIBU "SIO MBAYA" Reviewed by Unknown on 00:52 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.