Recent Posts

AFRIMA ZA MNG'ARISHA TENA DIAMOND PLATNUMZ.

Diamond Platnumz siku ya jana amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomuwezesha  kushinda tuzo tatu.


Usiku wa kuamkia jana Novemba 7 ulikua ni usiku wa Tunzo za AFRIMA(All Africa Music Awards) 2016 ambazo zilifanyika  jijini Lagos Nigeria ndani ya ukumbi wa Convention Center Ekom Hotels & Suites
ambapo Nyota kutoka Tanzania Diamond Platnumz akiwa ni miongoni mwa wasanii walio onoka na Furaha usiku huo baada ya kuchukua Tuzo.
 Kupitia Tuzo hizo za Afrima, Diamond Platnumz alifanikiwa kuchukua Tunzo tatu  kati ya Tano alizo kuwa amechaguliwa kuchukua amabapo moja kwa moja tuzo kubwa aliyo chukua ni Song of the Year in Africa kupitia wimbo wake wa "Utanipenda?!" huku ikifuatiwa na tuzo ya Best Artiste/Duo/Group In African Pop na Best Male Artiste, Eastern Africa.
Na aliyekuwa mpenzi wake wazamani Wema Sepetu alituma pongezi zake kwa Staa huyo kwa kuandika ujumbe huo hapo juu pichani kwa maneno yanayo someka hivi "Makofi matatu kwa Tuzo tatu... "Tanzania's Pride..." Sema picha hii Kali saaaaaaanaaaaa... Utasema sio wa Tandale... (Sorry Bro)... Congrats once again...!!"
AFRIMA ZA MNG'ARISHA TENA DIAMOND PLATNUMZ. AFRIMA ZA MNG'ARISHA TENA DIAMOND PLATNUMZ. Reviewed by Unknown on 02:06 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.