Recent Posts

SPORTS: NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA U20.

NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA U20.

>>Nigeria imefuzu kwa kombe la dunia la wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20.

Flying Eagles ya Nigeria ilijikatia tikiti hiyo ya moja kwa moja baada ya kufuzu kwa nusu fainali ya
mashindano ya kuwania kufuzu.

Vijana hao chipukizi wa Nigeria waliwalaza Congo mabao 4-1 katika mechi yao ya pili ya kundi A
iliyochezwa Senegal.

Washiriki wote wa hatua ya nusu fainali ya mashindano haya ya Afrika wanafuzu kuiwakilisha
bra la Afrika kwatika Fainali za dunia zitakazochezwa mwezi Mei na juni mwaka huu kule New Zealand.

Nahodha wao Musa Muhamed alifunga mabao mawili huku Ifeanyi Matthewna mchezaji aliyetuzwa
kwa kuwa mchezji bora katika mechi hiyo Taiwo Awoniyi akikamilisha kichapo hicho kilichowahakiki shia nafasi ya kushiriki fainali za kombe la Dunia.

SPORTS: NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA U20. SPORTS: NIGERIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA U20. Reviewed by Unknown on 02:31 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.