MAN U YAIBURUZA TOTTENHAM MIKWAJU MITATU.
>>Manchester United imefanikiwa kupata ushindi nyumbani dhidi ya wagumu Tottenham kwa jumla
ya mabao 3-0 na kufikisha point 56 katika msimamo wa ligi kuu nchini England.
Katika mchezo huo mabao ya Man U yalifungwa na Fellaini dakika ya 9, Carrick dakika ya 19 na
Rooney katika dakika ya 34′.
SPORTS: MAN U YAIBURUZA TOTTENHAM MIKWAJU MITATU.
Reviewed by Unknown
on
07:25
Rating:
No comments: