Recent Posts

NEWS: WALIOANGALIZIA MTIHANI NA KUPEWAMAJIBU MADIRISHANI WAFUKUZWA INDIA.

WALIOANGALIZIA MTIHANI NA KUPEWAMAJIBU MADIRISHANI WAFUKUZWA INDIA.

Wakuu wa jimbo la Bahir,nchini India
wali wakamata mamia ya watu na kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 750 baada ya video zilizo enea
mtandaoni kuonyesha wanafunzi waliodanganya kwenye mtihani wa kumaliza shule na baadhi kupewa majibu na Ndugu zao.

Baadhi ya wazee na askari polisi walikamata mitihani iliyo igiliziwa katika vituo 4 na kufanya mitahani
kuahirishwa.

Katika tukio hilo picha hizo zilionyesha wanaume wakiparamia kuta za vituo vya mitihani na
kuwakabidhi wanafunzi majibu yaliyo kwisha andaliwa tayari, hata hivyo wanafunzi wengine walionekana wakikopi majibu kutoka kwa wenzao kutokana na kukosa Ndugu wa kuwasaidia majibu yaliyo tayari.

NEWS: WALIOANGALIZIA MTIHANI NA KUPEWAMAJIBU MADIRISHANI WAFUKUZWA INDIA. NEWS: WALIOANGALIZIA MTIHANI NA KUPEWAMAJIBU MADIRISHANI WAFUKUZWA INDIA. Reviewed by Unknown on 01:12 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.