Recent Posts

NEWS: CHINA NA SAKATA LA KUUZA WATOTO KWA NJIA YA INTERNET.

CHINA NA SAKATA LA KUUZA WATOTO KWA NJIA YA INTERNET.

Uchunguzi wa BBC uilibaini kuwa kuwepo kwa matangazo ya kuuzwa watoto nchini China kupitia
mtandao wa Internet.

Baadhi ya matangazo hayo yametolewa chini ya kisingizio cha kuasilisha licha ya jitihada za pilisi
kuzuia usafirishaji wa watoto.

Tangazo moja katika mtandao lilihusu mtoto wa kike mwenye umri wa miezi nane kwa mauzo ya dola
elfu 30.

Ingawaje matangazo ya kuasili watoto yaliruhusiwa kuuza watoto ni makosa kisheria.

Sambamba na hayo inakadiriwa kuwa watoto elfu 20 wanatekwa kila mwa mwaka wengi wanauzwa
baadae.

Hata hivyo waliopatikana na makosa ya kusafirisha watoto wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa lakini wanaharakati walisema adhabu kali zaidi inahitajika kwa wale waliojitayarisha kununua watoto nchini humo, hata hivyo mahitaji hayo yanapewa msukumo wa wanandoa wasio na watoto.

NEWS: CHINA NA SAKATA LA KUUZA WATOTO KWA NJIA YA INTERNET. NEWS: CHINA NA SAKATA LA KUUZA WATOTO KWA NJIA YA INTERNET.
Reviewed by Unknown on 04:03 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.