Recent Posts

NEWS: MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA NCHINI ANGOLA.

MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA NCHINI ANGOLA.

Watu 60 wakiwemo watoto 35 wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa ilionyesha nchini Angola.

Miongoni mwa waliopoteza maisha katika mvua hiyo ni watoto takribani 35 katika kijiji cha Lobito.

Shirika la habari la nchini humo limesema kuwa katika baadhi ya maeneo mafuriko yalifikia kipimo
cha mita 3 na kuharibu nyumba kadhaa.

Hata hivyo wafanyakazi na wa uokoaji wanaendelea kutafuta watu walionusurika na janga hilo.

Nchini Angola sehemu kubwa imekumbwa vibaya na mvua nyingi zilizonyesha tangu januari, huku mji mkuu wa Luanda zaidi ya nyumba 130 ziliharibiwa na mvua hiyo.

NEWS: MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA NCHINI ANGOLA. NEWS: MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA NCHINI ANGOLA. Reviewed by Unknown on 03:56 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.