Recent Posts

SPORTS: WACHEZAJI NA MAKOCHA WASIMAMISHA MCHEZO NA KUANZA KUPIGANA.

WACHEZAJI NA MAKOCHA WASIMAMISHA MCHEZO NA KUANZA KUPIGANA.

>> Mechi ya kufuzu ya kuwania kombe la taifa bingwa barani Ulaya kati ya urusi na Montenegro
ilisitishwa baada ya wachezaji kutoka timu zote kupigana uwanjani.

Awali mechi hiyo ilikuwa imesitishwa kwa dakika
30 baada ya mlinda lango wa Urusi kugongwa na kifaa na kisha kupelekwa hospitalini.

Wakati Urusi ilipopoteza penalti katika cha kipindi cha pili wachezaji na maafisa kutoka pande zote
walianza kupigana.

Kisha mchezaji mwingine wa Urusi aligongwa wakati vifaa zaidi viliporushwa uwanjani hatua
iliyomfanya refa kusimamisha mechi hiyo.

Hakuna timu iliyokuwa imefunga bao wakati huo na haijulikani hatua ambayo itachukuliwa na shirikisho
la soka barani ulaya.

SPORTS: WACHEZAJI NA MAKOCHA WASIMAMISHA MCHEZO NA KUANZA KUPIGANA. SPORTS: WACHEZAJI NA MAKOCHA WASIMAMISHA MCHEZO NA KUANZA KUPIGANA. Reviewed by Unknown on 10:44 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.