Recent Posts

NEWS: RAISI WA ZAMBIA EDGAR LUNGU ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI.

RAISI WA ZAMBIA EDGAR LUNGU ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI.

Raisi wa Zambia, Edgar Lungu ameruhusiwa kutoka hospitali ya Afrika Kusini baada ya kufanyiwa
upasuaji.

Lungu ni raisi ambae alichaguliwa hivi karibuni na alilazwa Nchini Afrika kusini kutokana ugonjwa
unaorejea mara kwa mara na uki husiana na tatizo katika koo lake.

Raisi huyo alilazwa katika hospitali ya "Pretoria" jumanne iliyopita,kufuatia kuzirai katika sherehe za siku ya kimataifa ya wanawake mjini Lusaka.

Mwezi januari Lungu alishinda uchahuzi wa uraisi na kuchukua nafasi ya hayati raisi Michael Sata
aliyefariki oktoba mwaka jana.

NEWS: RAISI WA ZAMBIA EDGAR LUNGU ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI. NEWS: RAISI WA ZAMBIA EDGAR LUNGU ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI. Reviewed by Unknown on 12:40 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.