JESHI LA NIGERIA LAUKOMBOA MJI WA BAMA.
Jeshi la Nchini Nigeria limetangaza kuwa limeurejesha mji wa Bama uliopo kaskazini mashariki mwa Nigeria kutoka kwa wapiganaji wa kiislam wa kundi la Boko haramu.
Wapiganaji wa boko haramu walikuwa wakiudhibiti mji wa Bama,ambao ni wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Barno tangu Mike Omeri, msemaji wa raisi
Goodluck Jonathan alithibitisha kuwa majeshi ya Nigeria yaliingia Bama.
Alipoulizwa na BBC ni kwa nini ilichukuwa wiki mbili kuutwaa tena mji huo kabla ya uchaguzi wa
raisi na wabunge alisema jeshi lilikosa silaha muhimu.
NEWS: JESHI LA NIGERIA LAUKOMBOA MJI WA BAMA.
Reviewed by Unknown
on
09:01
Rating:
No comments: