Recent Posts

NEWS: WABUNGE WATOROKA BUNGENI.

WABUNGE WATOROKA BUNGENI.

Baadhi ya wabunge wamekuwa watoro kwenda bungeni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu
nchi yetu ya Tanzania na raia wake kwa ujumla.

Hali hiyo imetokea hivi karibuni, kwamba wananchi mbalimbali kila kona ya Tanzania wakimshutumu
spika wa bunge,mheshimiwa Anna Makinda kuwa ndie kitovu cha ukosefu wa nidhamu,kutokana
kutowawajibisha wale wabunge wote wasihudhuria bungeni hapo.

Hata hivyo wengine wamedai kwamba utoro wa baadhi ya wabunge unatokana kujipigia kampeni kimyakimya katika majimbo yao ili kujiandaa na
uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka huu.

Baadhi ya masuala mbalimbali yameshindwa kujadiliwa kutokana na uchache wa wabunge uliopo bungeni humo mkoani Dodoma.

NEWS: WABUNGE WATOROKA BUNGENI. NEWS: WABUNGE WATOROKA BUNGENI. Reviewed by Unknown on 07:35 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.