Recent Posts

NEWS: UMOJA WA MATAIFA WAPEWA LAWAMA KUHUSU SYRIA.

UMOJA WA MATAIFA WAPEWA LAWAMA KUHUSU SYRIA.

Ripoti ya mashirika zaidi ya ishirini ya misaada ya kibinadamu na yale ya kutetea haki za binadamu
yamelishutumu baraza la usalama la umoja wa mataifa kwa kushindwa kutetea raia walipo katikati ya vita nchini Syria.

Ripoti hiyo ilizishutumu nchi zenye nguvu kubwa ya ushawishi duniani kwa kushindwa kutumia nguvu
zao kuandaa maazimio ya kusaidia uhuru wa huduma za misaada ya kibinadamu kwa waathitika.

Ripoti hiyo ilitoka katika mashirika hayo wakati wa kuadhimisha miaka minne ya vita nchini syria ambavyo bado vinaendelea hadi hivi sasa.

David Mildband ambae ni Raisi wa shirika la kimataifa la uokoaji "International Rescue Committee" alisema kuwa kuna ongezeko dogo lamisaada inayotolewa kuwa saidia raia wa Syria.

NEWS: UMOJA WA MATAIFA WAPEWA LAWAMA KUHUSU SYRIA. NEWS: UMOJA WA MATAIFA WAPEWA LAWAMA KUHUSU SYRIA.
Reviewed by Unknown on 07:42 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.