Recent Posts

NEWS: NIGERIA KUAMUA NANI RAISI WA NCHI HIYO LEO HII!!.

NIGERIA KUAMUA NANI RAISI WA NCHI HIYO LEO HII!!.

Raia wa Nigeria leo wanatarajiwa kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ingawa kulikuwa na vuta nikuvute kutokana na kuripotiwa taarifa ya mtendaji mkuu wa kampuni inayosambaza mashine za kusoma vitambulisho vya elektroniki vya wapiga kura kukamatwa na
maafisa usalama wa nchi hiyo baada ya kudaiwa kutumia nyenzo hiyo kwaajili ya kufujisha kura.

Chama kinachoshika madaraka nchini humo mpaka sasa cha "PDP" kilisema kwamba mtendaji huyo Mussa alihusishwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo cha "APC" ambae alidhaniwa kutaka kuvuruga uchaguzi.

NEWS: NIGERIA KUAMUA NANI RAISI WA NCHI HIYO LEO HII!!. NEWS: NIGERIA KUAMUA NANI RAISI WA NCHI HIYO LEO HII!!. Reviewed by Unknown on 03:26 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.