JAPANI NA CHINA WAKUTANA KUWEKA USALAMA.
Japani na China yafanya mkutano wa kwanza wa kiwango cha juu wa usalama katika muda wa miaka 4.
Katika mkutano huo unaofanyika Tokyo unajumuisha maafisa kutoka wizara za mambo ya nje na ulinzi,
Huku baadhi ya taarifa zikidai kuwa mazunguzo ya namna hiyo yaliisha wahi kusitishwa mnamo mwaka 2011 kutokana na hofu juu ya visiwa mashariki mwa bahari ya Hindi upande China.
China ilisema kuwa Japan ilishindwa kuomba msamaha kwa uchokozi wake wakati wa vita ya
dunia ya pili,hata hivyo pande zote zimesisitiza umuhimu wa mazungumzo ya amani.
NEWS: JAPANI NA CHINA WAKUTANA KUWEKA USALAMA.
Reviewed by Unknown
on
14:18
Rating:
No comments: