Recent Posts

SPORTS: WACHEZAJI WA NJE KUPUNGUZWA ENGLAND.

WACHEZAJI WA NJE KUPUNGUZWA ENGLAND.

>>Shirikisho la kanda kanda nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakao sajiliwa katika ligi za nchi hiyo.

Mwenyekiti wa shirikisho hilo Greg Dyke asema kwamba ligi kuu ya England ipo kwenye hatari ya
kutowasaidia wachezaji raia wa Uingereza kama hatua hazitachukuliwa.

Katika mpango pia itaweka sheria ngumu kwa wachazaji wenye vipaji waliokulia nchini humo.

Mikakati hiyo yote ni ya kuimarisha timu ya taifa ya England ambayo imekuwa haifanyi vizuri
kwenye mechi za kimataifa.

SPORTS: WACHEZAJI WA NJE KUPUNGUZWA ENGLAND. SPORTS: WACHEZAJI WA NJE KUPUNGUZWA ENGLAND. Reviewed by Unknown on 07:20 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.