Recent Posts

NEWS: BARACK OBAMA ASIFU USHINDI WA NETANYAHU.

BARACK OBAMA AMEUSIFU USHINDI WA NETANYAHU.

Raisi wa Marekani Barack Obama amemtumia salamu za pongezi waziri mkuu wa Israel, Benjamin
Netanyahu kutokana na ushindi alioupata katika chama chake katika uchaguzi uliofanyika jumanne
iliyopita.

Obama alielezea dhamira yake ya kupata ufumbuzi mgogoro kati ya Israel na Wapalestina kuwa ni
kuunda taifa la palestina.

Awali ikulu ya marekani ilielezea wasiwasi kuhusu ahadi ya Netanyahu wakati wa kampeni za
uchaguzi kwamba asingeruhusu kuundwa kwa taifa la palestina.

Waziri mkuu wa Israel tangu wakati huo alilegeza msimamo wake akisema atakubali suluhisho la
kuwepo maifa mawili endapo usalama katika la kuwepo mashariki ya kati utaimairishwa.

NEWS: BARACK OBAMA ASIFU USHINDI WA NETANYAHU. NEWS: BARACK OBAMA ASIFU USHINDI WA NETANYAHU. Reviewed by Unknown on 02:21 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.