ROONEY AIBEBA MAN U IKIUA 2-0 ENGLAND.
>>Klabu ya Manchester united imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sunderandm
nakujiongezea matumaini ya kushiriki Ligi ya mabingw a balani Ulaya msimu ujao.
Mabao ya Man U yalifungwa ba Wayne Rooney katika dakika Rooney 66′kwa njia ya penat, na dakika 84.′
Kwa ushindi huo Man imefikisha point 50 ikiwa katika nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi kuu nchini
England.
Matokeo mengine ya michezo iliyopigwa hii leo ni
kama ifuatavyo;-
West Ham 1 - 3 Crystal Palace
Burnley 0 - 1 Swansea
Man Utd 2 - 0 Sunderland
Newcastle 1 - 0 Aston Villa
Stoke 1 - 0 Hull
West Brom 1 - 0 Southampton.
SPORTS: ROONEY AIBEBA MAN U IKIUA 2-0 ENGLAND.
Reviewed by Unknown
on
00:48
Rating:
No comments: