MAREKANI YADAI UGANDA IPO HATARINI KUSHAMBULIWA.
Ubalozi wa marekani nchini Uganda umesema kuwa una taarifa za uwezekano wa shambulio la
kigaidi nchini humo, ambapo marekani imeweza kutoa tahadhari kwa raia wake Nchini humo.
Taarifa hiyo ya ubalozi ulibainisha kwamba shambulio hilo linaweza kuteketelezwa wakati wowote katika maeneo ambayo raia wa mataifa ya
magharibi na marekani hukutana.
Katika kipindi kilichopita kundi la kigaidi la Al-shabaab lenye makao yake nchini Somalia limetekeleza
mashambulio nchini Uganda.
NEWS: MAREKANI YADAI UGANDA IPO HATARINI KUSHAMBULIWA.
Reviewed by Unknown
on
03:39
Rating:
No comments: