Recent Posts

NEWS: MAJAJI KADHAA WASTAAFISHWA KILAZIMA NCHINI MISRI.

MAJAJI KADHAA WASTAAFISHWA KILAZIMA NCHINI MISRI.

Duru za mahakama ya Misri zilisema kuwa mahakimu kama 40 walilazimishwa kustaafu hali
iliyosemekana kuwa sababu walionekana kuwa wanaunga mkono Muslim Brother Hood.

Majaji kadhaa walitia saini taarifa ya kulaani hatua ya jeshi
kumuondoa madarakani raisi muislamu Mohammed Morsi mwaka 2013.

Hata hivyo wengine walijiunga na kundi lililounga mkono Brother hood kabla ya raisi Morsi kutolewa
madarakani.

Sheria ya misri ilikataza majaji kujihusisha na siasa,hata hivyo wanaharakati wanaotetea haki za
kibinadamu walisema kuwa wakuu hawasemi kitu kuhusu wale mahakimu ambao wazi wazi wanamuunga mkono raisi wa sasa wa misri Abdel Fattaha al-sisi.

NEWS: MAJAJI KADHAA WASTAAFISHWA KILAZIMA NCHINI MISRI. NEWS: MAJAJI KADHAA WASTAAFISHWA KILAZIMA NCHINI MISRI. Reviewed by Unknown on 19:03 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.