Recent Posts

OMMY DIMPOZ KUACHIA VIDEO YA TUPOGO REMIX LEO HUKU JOKATE AKIWA VIDEO QUEEN.

Kupitia production ya PKP (Poz kwa Poz) Mkali wa
single ya Ndagushima Ommy Dimpoz anatarajiwa
kuachia video ya hit
single yake ya mwaka jana ‘Tupogo’ siku ya leo
ambayo ni remix yake huku ikiwa imetengenezwa
kwa mtindo wa kiasili ambapo moja kwa moja video
hiyo imeongozwa na director mkongwe wa Bongo Adam Juma.

Jokate amecheza kama ‘mpenzi’ wa Ommy Dimpoz
kwenye
video hiyo ambapo kwa kuonyesha fahari ya kufanya
kazi na Dimpoz # Jokate_Mwengelo kupitia acount
yake ya Twitter siku ya jana ameandika hivi:

@jokatem
had so much fun working on this 'project' with the
super talented coolest of them all @ommydimpoz
Tupogo remix inatoka kesho...kitu fulani kizuri sana
mtakifurahia let'strend
# TupogoRemix #TupogoRemix #TupogoRemix
#TupogoRemix # PKP.

Fahamu tu kuwa saa yoyote siku ya Leo video hiyo
itakuwa Luningani kazi kwako kuitazama kama we ni
shabiki wa Bongo fleva Music.

OMMY DIMPOZ KUACHIA VIDEO YA TUPOGO REMIX LEO HUKU JOKATE AKIWA VIDEO QUEEN. OMMY DIMPOZ KUACHIA VIDEO YA TUPOGO REMIX
LEO HUKU JOKATE AKIWA VIDEO QUEEN. Reviewed by Unknown on 23:10 Rating: 5

2 comments:

  1. Kwa jinsi audio ilivyo poa anaweza tusua pia kwenye video!

    ReplyDelete
  2. Umetisha mbaba!!

    ReplyDelete

Powered by Blogger.