Rapper mahiri aliyewahi kuhit na ngoma kibao
ikiweno ‘Mtoto wa Kiume’, 'mimi' 'dakika O' Geez
Mabovu amefariki dunia usiku wa Jumatano mjini
Iringa.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez alienda
kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza
kuugua mfululizo.
Taarifa za awali zinadai kuwa
mazishi yanaweza kufanyika Alhamis hii.
Wasanii mbalimbali wameendelea kutuma salami
zao za rambi rambi kufuatia msiba huo.
December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa
Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show
iliyokuwa ifanyike mjini Iringa kwenye ukumbi wa
Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na
rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa, Jan B
na Chidi Benz.
Nisaidie kawa kusema R.I.P Geez..
R.I.P GEEZ MABOVU
Reviewed by Unknown
on
02:32
Rating:
No comments: